YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
So unatuma picha au hutaki ?
Nitafikiria endelea kusubiri
So unatuma picha au hutaki ?
Hapanaaaa hapanaaaa ( in mkojani voice )... Hawajiamini... Wamefunga PM Ila kutwa wanatusumbua PM... 😅😅😅... Leo pombe nayo kunywaaa naweza kosea adabu watu humu Acha ni logoutJamani National Anthem waache wafunge kuepuka usumbufu.
Sie wengine hatusumbuliwi, PM moja miezi 6....mbwembwe zakuweka🔒 tutapata wapi???🙄
Jamani National Anthem waache wafunge kuepuka usumbufu.
Sie wengine hatusumbuliwi, PM moja miezi 6....mbwembwe zakuweka[emoji357] tutapata wapi???[emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa nilizoona humu ndani aseee upo top 3 nakuambia shem.
Acha tu kumbe nina shem mzuri hivi. Anyway mimi sikoseagi kabisa marafiki zangu wa kike wote ni wazuri kwanzia nilivyokuwa msingi hadi leo na hawakosi.
1. Sura
2. Shape
Na ww nimekuverify official [emoji736][emoji736][emoji736]. Kama pisi kali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aseee nacheka kama fala hapa.Acha tu humu hakuna wa kumuita mwenzie shangazi wala nyookoo ya aunt ni vibibi vilivyokosa matunzo tumejaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijaona mtoto niwe mkweli mimi nasali dhambi nyingine za kujitakia SITAKI
Kausha basi sio lazimaaa.. yote maishaaaa ninyanyapae Tu 😐😐😐Nitafikiria endelea kusubiri
Siku izi nalala Sana Sijui nimekuaje
😏😏😏😏😏Ukifika nijulishe umefika salama!!!!
😆😆😆Hapanaaaa hapanaaaa ( in mkojani voice )... Hawajiamini... Wamefunga PM Ila kutwa wanatusumbua PM... 😅😅😅... Leo pombe nayo kunywaaa naweza kosea adabu watu humu Acha ni logout
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aseee nacheka kama fala hapa.
Ntawaamsha majirani umesema!!!!!
Kuna kibibi kilisema eti kuna naniliii ana umri wa kumzaa mi nilicheka vibaya sana kwani age difference ya 7 years ni kubwa kiasi hiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanivunja mbavu shem aseee
🤣🤣🤣 Hao watakua wanajisikia kukufurahisha kila siku!! Komaa nao mwenyewe!😁Dr sema suu nikuhamishie wangu waje kwako uchoke kujionea mauza uza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mselfike wadau
Tupunguze story
Hapa ni selfie tuu
Umesusa???🙄😏😏😏😏😏
Unaogopa kumkwaa nani??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem hebu niwacheeeee kwanza
Unasemaje?! Labda kwa Faiza hao wengine wanasingiziwa afu nipumzike niendelee na ratiba zingine. Nisije kumkwaa mtu bure humu na ugomvi siwezi
Wanaofunga pm wapo hivyo 🥴😅😅😅😆😆😆
Sasa sindo wamekuchagueni nyie wanaowaelewa!!!!🤓
Usikimbie bana....utakuja kuanguka uumie!😁
Hio misuliii hioo ankoooo asabtreeeehh!!😍😍
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao watakua wanajisikia kukufurahisha kila siku!! Komaa nao mwenyewe![emoji16]
Usinisemesheee 😬😬😬😬..Umesusa???🙄