National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
πππππππππππππππππππππWe....nisikusemeshe ili iweje?? Kalale mara hii!π€¨ Ukiamka kesho unisalimie kama kawaida!!!!!!!!π
πππππππππππππππππππππWe....nisikusemeshe ili iweje?? Kalale mara hii!π€¨ Ukiamka kesho unisalimie kama kawaida!!!!!!!!π
Cheka utanue mapafu ankoli akee jf never boring π€£π€£π€£π€£!!π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Aseee nacheka kama fala hapa.
Ntawaamsha majirani umesema!!!!!
Kuna kibibi kilisema eti kuna naniliii ana umri wa kumzaa mi nilicheka vibaya sana kwani age difference ya 7 years ni kubwa kiasi hiko π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Unanivunja mbavu shem aseee
Wanaofunga pm wapo hivyo
Hawajiamini
Wanagonganisha ma Subaru
Hawawezi kukataa wakiombwaaa namna ya kujilinda ni hiyo
Mengine ongezeaaa... Yapo masababu mengii.. atae jihisi ni mchawi tuuu kama wachawi wengine.. wadada wali alafu smart PM zao zipo wazo.. Ila... Ouyoooooo







eti wanagonganisha nini???π€£π€£π€£π€£ We sema ilimradi ni UKWELI.Humu sina adui hata mmoja wote kwangu nawaona vizuri tyu
Sema nisije kuongea kitu mwingine kikamgusa akahisi namsema kumbe mi niko kuongea tyu
Maana kuna raia zinajistukiaga bila sababu
Kwa nini mtu ufunge pm kwamba mtu atashika mkono wako lazima ujibu chochote huko pm ni kutokujiamini π€·πΌββοΈ
Auweeeeehh!! Eagerly waiting ankoooo !!Santo sana auntiee mzuri ππ sleep tight.
Hapo nilikuwa nimetoka field choka kinoma. Nikaamua kusnap kidogo.
Sema kuna pisi kali π€π€π€ ntakusimulia kesho vizuri ulale thatha π€π€©π
Masubaruuu π π π βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈeti wanagonganisha nini???
Ongeza sautiiiii
We sema ilimradi ni UKWELI.
Kwani kuna shida??? Sasa ukiwa muoga nyuma ya keyboard face 2 face itakuwaje sasa.
We sema mtazamo wako upo free hapa.
Na upo na shem wako![]()




Shem leo unaninyanyasa sanaaaaShem lete picha yako bas
Masubaruuu![]()




Yaani simu yangu kisha nifunge pm ili yaani bando langu nisiwe na uhuru naloπ€·πΌββοΈJamani National Anthem waache wafunge kuepuka usumbufu.
Sie wengine hatusumbuliwi, PM moja miezi 6....mbwembwe zakuwekaπ tutapata wapi???π
βοΈβοΈβοΈβοΈ Umemaliza cha ukorofi Nuzulati ...Kwa nini mtu ufunge pm kwamba mtu atashika mkono wako lazima ujibu chochote huko pm ni kutokujiamini π€·πΌββοΈ
Sio kwa uchovu huoo mnywanii poleee!! Ngoja niangalie kama ipoo Usipepese hata kopeeee napita kama nilivooooo!!Rudi utimize ahadi basi kwanza! Ili nisilale na kihemu hemu wallai
πππ Mambo si ndio hayaaaa sasa.. wewe moja ya superwoman w JF hubabaiki.. na wavimba machoo..βοΈβοΈAhsanteeeeeeeeeeeee
Nakutumia picha kwa ulivyonifurahisha ila usinichambe sasa![]()
Sawa sawa mnywani bila kusauhau ya mgongoni! Uzuri wa nyumba Ni nini vile hahaSio kwa uchovu huoo mnywanii poleee!! Ngoja niangalie kama ipoo Usipepese hata kopeeee napita kama nilivooooo!!
ππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈπ€Sawa sawa mnywani bila kusauhau ya mgongoni! Uzuri wa nyumba Ni nini vile haha
Watoto tupo kama mmezeeka ni nyieWee mimi lishangazi sio kitoto tuheshimiane
Afu kwa selfie nilizoziona JF hakuna watoto, sema wengine miili imedumaa lkn wakubwa![]()
Haha sasa unakimbia elekea wapi mtoto mzuri!! Embu rudi kwanza mnywaniππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈππ»ββοΈπ€