YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Njoo nikubless ila uwahi sasa
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sina bahati kwakweli 🥹🥹Usiku mwema wapendwa mrare unonoooo!!
Wacha Nikapumzishe fuvu langu sasa!![emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji42][emoji99][emoji99][emoji99][emoji99][emoji99]!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Wala mi mbona mpole mbona ila sipendi nione niwapendao wansumizwa
Sio kwenye familia yangu, marafiki zangu, au yeyote aliyepo moyoni
Aweee ntaivaa na ww. Ila mi mtu poa sana [emoji1787][emoji1787] karibu chips shem View attachment 2696485
Una shida ww vitunguu vipo wapi hapo au umelewa usiku huu!!naona vitunguu😆😆
we dogo msabato nini umevaa kitambaa usikuUna shida ww vitunguu vipo wapi hapo au umelewa usiku huu!!
Kumbe ni wewe ulikua------- basi...ntakutumia picha yako baadae!🙂usiniambie tulikuwa wote hapa kwenye pool 🥹
Kesho nayo ni siku wapendwaaa!!! Cute Wife Kapachino Missy Gf Mjep Penseli 4 National Anthem Kigi Makasi Benaya-
counting 3
1 2 ....
Nitoke tu selfika sina bahati kabisa yaani!Kesho nayo ni siku wapendwaaa!!! Cute Wife Kapachino Missy Gf Mjep Penseli 4 National Anthem Kigi Makasi Benaya-
counting 3
1 2 ....
We mbona una mwili wa kawaida mi mwenyewe nazila mara moja moja tu mi mpenzi wa ugali na wali.Ahsante chips naziogopa, sipendi kubongeka shem [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiitume selfika tuKumbe ni wewe ulikua------- basi...ntakutumia picha yako baadae![emoji846]
🤣🤣🤣🤣 Duuh aseee sijui labda ndugu yangu Feni tedoka atanijibia hilo swali vizuri. 😁😎we dogo msabato nini umevaa kitambaa usiku
Ntakuficha na ua kidogo!!😄😄[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiitume selfika tu
🤣🤣🤣🤣!! polee lol umepitwajee naupo hapahapa!Sina bahati kwakweli 🥹🥹
We mbona una mwili wa kawaida mi mwenyewe nazila mara moja moja tu mi mpenzi wa ugali na wali.
Sema namshukuru Mungu hata nileje sinenepi wala nn.
Mungu kanijalia mfumo mzuri sana mwilini. [emoji3]
nebu aje huyo dogo niongee nae vizuri, au aje ocampos🤣🤣🤣🤣 Duuh aseee sijui labda ndugu yangu Feni tedoka atanijibia hilo swali vizuri. 😁😎
maninih we Ni mnoma!Hapana nilikua naedit nisije kimbia I'd yangu bureeee mnywanii
Ulitaka akae Kama wewe hivi🤣😁we dogo msabato nini umevaa kitambaa usiku