Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani maswali yao sasa....wapi hiyo

Kuna mmoja imebidi awe km rafikiangu sasa, maana ana vituko sijawahi ona afu huku jukwaani alivyo serious huwez amini yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna wengine unamkataa anakuja na id nyingine ili akuvuruge [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani me nachekaga sana maana wakiona comment zangu wanakuja nazo pm kuzitolea maelezo sijui wanaogopaga nn hapa jukwani
 
Back
Top Bottom