Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wanao funga PM wanaonaga wameyapatia maishaaa ya JF... Kumbe 🥴🥴🥴🥴🥴
Hahaha eti waliofunga pm hamna mtu ambaye hachat pm.

Tena mi nacgat na wengi waliofunga pm.

Mbona zitafunguka tu ila uwe tu mtu wa maana sasa kuwa mjinga mjinga uone kama utaweza fungua pm ya,,,,,,,,,,,, hivi hivi.

Weee si mchexo
 
Aaah! Wapiiii... Kuna wanao jisikiiaaa akifunga anahisi yupo mawinguni... Hadi kuna magume gume kambale yanafungaaa... Ingawa kuna totoz zikifunga unasema saaaaaaaawaaaa 😅😅😅😅😅😅... Kama mzuri mzuri Antonnia huyuu sawa afungeee.. maana lol
 
Kuna ukweli hapo. Ila mi navyojua

Shida kuna pisi kali hazijafunga pm na uthibitisho ninao. Na kuna wabovu wamefunga pia hivyo hapo haieleweki ila kama kaamua ni uhuru wake

Ili mradi hali kwako it's ok
 
Wee mimi lishangazi sio kitoto tuheshimiane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu kwa selfie nilizoziona JF hakuna watoto, sema wengine miili imedumaa lkn wakubwa [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
"Miili imedumaa" 😂😂😂😂😁😁😁!!!

uduguuu una utani wa ngumii wewwe khakhakhaaaa!!
 
Aaah! Wapiiii... Kuna wanao jisikiiaaa akifunga anahisi yupo mawinguni... Hadi kuna magume gume kambale yanafungaaa... Ingawa kuna totoz zikifunga unasema saaaaaaaawaaaa 😅😅😅😅😅😅... Kama mzuri mzuri Antonnia huyuu sawa afungeee.. maana lol
Mmeanza kunijaza mjombaaa Nararaa mimii😌😌😌😌😌!!
 
Kuna ukweli hapo. Ila mi navyojua

Shida kuna pisi kali hazijafunga pm na uthibitisho ninao. Na kuna wabovu wamefunga pia hivyo hapo haieleweki ila kama kaamua ni uhuru wake

Ili mradi hali kwako it's ok
Wakafe mbelee... Siku akifunga mtoto mzuri mrembo Dr Lizzy ndio nitakubaliana na hoja yakoo... Alafu MTU kufunga PM ni kutojiamini tuuuu 😅😅😅... Kama unajiamini hubabaiki na messages za watu.. ndio maana huwa namkubali Sana cha ukorofi Nuzulati
 
Back
Top Bottom