Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Punguza iko kitambi bhnaHahaha...................Wazee na Gym wapi na wapi, Si unajua miaka yetu ya 70's hatukuwa na six parks 🤪🏃🏃🏃
Punguza iko kitambi bhnaHahaha...................Wazee na Gym wapi na wapi, Si unajua miaka yetu ya 70's hatukuwa na six parks 🤪🏃🏃🏃
Lunch huna karibu wewe
Rafiki.....Ndio shemeji yetu au ndio mchepuko
Iko 1 ukipiga glass, lazima ulie 🤣😂, Sasa utajua ni machozi ya furaha au huzuni😂😂 Jack PalladinoFurahi day...View attachment 2695333
Unakulaga juice???Lunch huna karibu wewe
Aha kumbe mwambie kuna dada angu hana mume anazubaa tu nyumbani uku au ameo?Rafiki.....
View attachment 2695258
Wale waliokwepo miaka ile ya 70s watakuwa wanaelewa aina hii ya mikato tuliyokuwa tunavaa Vijana wa zamani, nimefanya kuwapa picha ya Babu yenu miake ile ya 70s [emoji2957][emoji847]
Hello Friday [emoji1635]
Ndio napenda sanaUnakulaga juice???
Kwa wenye pesa pekeeFurahi Day
Aisee Nime amini akufukuzae hakuambii toka🤔, Sasa hapo SI nachezea mdomo wangu 🤣😂 Dr Lizzy
Ngoja niongeze ubusy wa kazi za shambani kukipunguza 😁Punguza iko kitambi bhna
Nikitoka hapa...nakuja!!!Furahi day...View attachment 2695333
Kivipi mkuuKwa wenye pesa pekee
Beba chuma kula kidogoNgoja niongeze ubusy wa kazi za shambani kukipunguza 😁
Utafurahi huna pesaKivipi mkuu
Unazingua🤣Nikitoka hapa...nakuja!!!View attachment 2695370