Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,334
Marahaba Mkwe, ongea na mshenga wako mje mmalizie kutoa mahari ya binti yangu sasa 🤪🤗Baba mkwe Shikamoo
Marahaba Mkwe, ongea na mshenga wako mje mmalizie kutoa mahari ya binti yangu sasa 🤪🤗Baba mkwe Shikamoo
Machozi ya furahaIko 1 ukipiga glass, lazima ulie 🤣😂, Sasa utajua ni machozi ya furaha au huzuni😂😂 Jack Palladino
HahahaUtafurahi huna pesa
Kweli tena!!😁😁😁Unazingua🤣
Si bora ubaki nyumbnHahaha
Marahaba Mkwe, ongea na mshenga wako mje mmalizie kutoa mahari ya binti yangu sasa [emoji2957][emoji847]
Ni ushauri na uamuzi mzuriSi bora ubaki nyumbn
Ngoja nitulie sasa homeNi ushauri na uamuzi mzuri
Jisomee someeNgoja nitulie sasa home
Sawa😊Kweli tena!!😁😁😁
Nakuja na vikorokoro vyangu kabisa ili ujue niko serious!!😎
Ahahahah mkuu mimi nishamaliza shule kitambo sema na sura ya kitotoJisomee somee
Nadhani angle ya picha imefanya nionekane nimeongezeka uzito kidogo, ila kutaka nianze kunyanyua chuma unataka kuniua Babu yako sasa 🤪🏃🏃Beba chuma kula kidogo
Kujisomea somea si lazm uwe shule, jisomee vitabuAhahahah mkuu mimi nishamaliza shule kitambo sema na sura ya kitoto
Kufa mm nirithi gar ilo mzeeNadhani angle ya picha imefanya nionekane nimeongezeka uzito kidogo, ila kutaka nianze kunyanyua chuma unataka kuniua Babu yako sasa 🤪🏃🏃
Sina huo muda kwa kweli sitak kuwa muongoKujisomea somea si lazm uwe shule, jisomee vitabu
Uongo huu🤣Ahahahah mkuu mimi nishamaliza shule kitambo sema na sura ya kitoto
Kumbuka binti yangu amesoma kutumia mtaala wa Cambridge pale International School of Tanganyika ambapo ada pekee ilikuwa 39M kwa MwakaBaba mkwe unataka mahari kubwa tatizo
Nioneshe utoto wangu hapa 🤣🤣Uongo huu🤣
Kumbe ndiyo maana tangu juzi nakuota unapekua pekua hati za nyumba na gari 🤪Kufa mm nirithi gar ilo mzee