Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Nataka nipeleke kwa mwanasheria ni change jina mapemaKumbe ndiyo maana tangu juzi nakuota unapekua pekua hati za nyumba na gari 🤪
Kweli Wajukuu nimepata 🙌
Nataka nipeleke kwa mwanasheria ni change jina mapemaKumbe ndiyo maana tangu juzi nakuota unapekua pekua hati za nyumba na gari 🤪
Kweli Wajukuu nimepata 🙌
SawaSina huo muda kwa kweli sitak kuwa muongo
Utafanya niwe naziweka kwenye chaga za kitanda kila ninapolala sasa 😁🙌Nataka nipeleke kwa mwanasheria ni change jina mapema
Ukiondoka naibaUtafanya niwe naziweka kwenye chaga za kitanda kila ninapolala sasa 😁🙌
Kwa hatua uliyofikia, mambo mengine yanazungumzika Mjukuu.Ukiondoka naiba
Ndio ufanye hivyo mapema weekend niwe najirushaKwa hatua uliyofikia, mambo mengine yanazungumzika Mjukuu.
Uje nikupe mgawo wako mapema, usije kunikaba Babu yako nikufe bure 😁🙌
Usije kutumia zote kujirusha Kidimbwi alafu zikiisha uje kuomba zingine 🤪Ndio ufanye hivyo mapema weekend niwe najirusha
Sifanyi hivy9Usije kutumia zote kujirusha Kidimbwi alafu zikiisha uje kuomba zingine 🤪
Hapo sawaSifanyi hivy9
Ahay babu nakuja chap nikupelek kidimbwHapo sawa
Hahaha........unataka Pension yangu yote iishie Kidimbwi eeh 🙌Ahay babu nakuja chap nikupelek kidimbw
Tuna bakiza kidogoHahaha........unataka Pension yangu yote iishie Kidimbwi eeh 🙌
Thubutu, kule nimesikia kuna Wanawake wanakwiba kila kitu hadi hela ya mafuta ya gari unajikuta unatembea kwa Miguu hadi nyumbani kwako 🤪Tuna bakiza kidogo
Ahahha mimi nipo mjukuu wako hawezi kukufanyia hivyoThubutu, kule nimesikia kuna Wanawake wanakwiba kila kitu hadi hela ya mafuta ya gari unajikuta unatembea kwa Miguu hadi nyumbani kwako 🤪
Hizi zikiwa ka plate 9, huto nisikia nalalamika😂🤣
Hapa kuna kushiba kweli? au sie wa kijijiini ...