Mazee kwenda kwenye nchi kama UK, Canada au Marekani kuna faida zake nyingi mno tu. Jambo la msingi ni kujenga daraja la kwenda na kurudi utakavyo. Sema tatizo wabongo tuna kawoga fulani hivi ambako siyo powa na kanaturudisha nyuma.
Sure, kingine sie wavivu wa kusaka information. Ila kama Una taarifa zote muhimu na ukajipanga unaenda huko... Sehemu inayobakia moyoni mwangu nje ya Tanzania huwa ni United Kingdom... Hayo maneno mawili tu ndio naweza nikaishi na kufurahia maisha yangu..

Wale waliokwepo miaka ile ya 70s watakuwa wanaelewa aina hii ya mikato tuliyokuwa tunavaa Vijana wa zamani, nimefanya kuwapa picha ya Babu yenu miake ile ya 70s 🤪🤗
View attachment 2695258