Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bwahaha, mazee pole sana. Nacheka kama mazuri vile, naona na wewe uliliwa kichwa.....
😅😅😅Mapigo niliyopigwa vijana wa sasa hivi hawezi niingiza kingi.. sanasana mie nitawanyoooaaa.. kubwa zaidi kuna mmoja alishanipiga $1200 kutokea hapo nikapata haitakaa itokeee nikapigwaaa tenaaa.. na najua nitamkatakaaa sijaisemehee hiyo hela nitamla kwanzaaa
 
Daah, kumbe unamkumbuka 🤣
50e22660-7bc7-11ed-bf6f-adf678de4d96.jpeg
 
😅😅😅Mapigo niliyopigwa vijana wa sasa hivi hawezi niingiza kingi.. sanasana mie nitawanyoooaaa.. kubwa zaidi kuna mmoja alishanipiga $1200 kutokea hapo nikapata haitakaa itokeee nikapigwaaa tenaaa.. na najua nitamkatakaaa sijaisemehee hiyo hela nitamla kwanzaaa
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bagoshaaa! Mimi mpaka ukanitoa pesa mfukoni aisee, wewe basi utakuwa unakaribia kufa. Hivi unanitoaje dola 1200 kiwepesi kabisa ? Unaanzia wapi ?
 
Back
Top Bottom