National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Alitengeza mkasa, Kwa namna nilivyobwege nikaingia kwenye 18 za uongo wake.. dogo alikuwa mkali anajua kudekaa.. nahisi alizila na msela wake wake.. alitengeza ajari.. ikawa nitumie hiki nifanye hiki.. kuja kushtuka baadae mzigo ushagotaaa juuu 😅😅😅😅Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bagoshaaa! Mimi mpaka ukanitoa pesa mfukoni aisee, wewe basi utakuwa unakaribia kufa. Hivi unanitoaje dola 1200 kiwepesi kabisa ? Unaanzia wapi ?