Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Ahahah kweli ase ukiona chimbo kli niiteNipo nazurula mpaka nimalize majukwaa yote ndio nilale.
Ahahah kweli ase ukiona chimbo kli niiteNipo nazurula mpaka nimalize majukwaa yote ndio nilale.
Kimbia chapNakuja ghetto utaniona vizuri Hadi unyayooo 😅😅😅
Kuna matukio nikiyakumbuka huwa naishia kucheka sana. Miaka hiyo wabeba box waliwasumbua mno wala vumbi. Wao wanatema ung'eng'e tu watoto washaingia line. Baadaye unasikia kilio, na ID inaachwa kutumika. Kuna wengine walikuwa wanajifanya wanawake kumbe midume, akina Gilesi a.k.a Comrade Bujibuji 🤣 🤣 🤣😅😅😅 Ya 2012 ilikuwa na misalaaa... Hatari.. kuna dogo mmoja aligombanisha na afande mmoja hiyo 2012.. kumbe afande alikuwa kanizi uhuni... 2012 ilikuwa na matukio ya sasa hivi yakasome...
Daah, kumbe unamkumbuka 🤣Fidodido mzushi Sana Yule katuni 😅😅😅
Shauri yako bwana HB, kuwa makini mno na hizi Sauna na Spa...Kabisa mkuu hakuna ugumu wowote ule ndio maana sisi ni maHb
nikisumbua kidogo unanifinya😋Eti eeh😂
😅😅😅😅 Walipigwa sana za uso.. kuna mmoja jamaa alinichomesha nikapoteza laki mbili na mzigo sikula sijui alimpanga yule manzi.. nikaishia lipa hotel manzi akaja na wenzake wamekula maisha na poketi money nimeipa mawe mawili na mzigo nikanyimwaaa... nikikumbuka jamaa nacheka na ID yake hadi Leo naitazamaga tu nakausha.. mchezo aliocheza sikuupenda Ila nikakubali poteza pambano 😅😅😅Kuna matukio nikiyakumbuka huwa naishia kucheka sana. Miaka hiyo wabeba box waliwasumbua mno wala vumbi. Wao wanatema ung'eng'e tu watoto washaingia line. Baadaye unasikia kilio, na ID inaachwa kutumika. Kuna wengine walikuwa wanajifanya wanawake kumbe midume, akina Gilesi a.k.a Comrade Bujibuji 🤣 🤣 🤣
Nitaacha kaka nimeacha kuanzia sasaShauri yako bwana HB, kuwa makini mno na hizi Sauna na Spa...
Kule kwenu Tukuyu hivi vitu havipo kabisa, ila wewe kijana umefika mjini umeanza kuviparamia..
Umependeza kama mwalimu wa kiswahiliShangazi yake mshamba_hachekwi View attachment 2694722
auntie unantamanisha😋Shangazi yake mshamba_hachekwi View attachment 2694722
auntie unantamanisha[emoji39]
Tatizo nikikuonjesha vya wakubwa nitakuharibunikisumbua kidogo unanifinya😋
Asante mrembo😍😍Shangazi yake mshamba_hachekwi View attachment 2694722
eti....😂Nina hamu na wewe
Utapataaa laaana kijanaaa 😅😅auntie unantamanisha😋
Sio wa historiaUmependeza kama mwalimu wa kiswahili
Bwahaha, mazee pole sana. Nacheka kama mazuri vile, naona na wewe uliliwa kichwa.....😅😅😅😅 Walipigwa sana za uso.. kuna mmoja jamaa alinichomesha nikapoteza laki mbili na mzigo sikula sijui alimpanga yule manzi.. nikaishia lipa hotel manzi akaja na wenzake wamekula maisha na poketi money nimeipa mawe mawili na mzigo nikanyimwaaa... nikikumbuka jamaa nacheka na ID yake hadi Leo naitazamaga tu nakausha.. mchezo aliocheza sikuupenda Ila nikakubali poteza pambano 😅😅😅