Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna madogo wajuaji waliingia kichwa-kichwa miaka kuanzia 2012, aisee waliliwa vichwa.
Wenyewe walidhani kila mtu ni akisema ana gari basi lazima atakuwa bwanyenye fulani hivi.
Baadhi walipewa ahadi ya kupelekwa Marekani na Ulaya, lakini wakaishia pale Sinza kumekucha.
😅😅😅 Ya 2012 ilikuwa na misalaaa... Hatari.. kuna dogo mmoja aligombanisha na afande mmoja hiyo 2012.. kumbe afande alikuwa kanizi uhuni... 2012 ilikuwa na matukio ya sasa hivi yakasome...
 
Back
Top Bottom