Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Humu ndani kuna vijana wa hovyo mno yani, kuna tabia za ajabu sijapata kuona!
Kuna kipindi humu ndani watoto wa kike walikuwa wanatoa kilio kwelikweli....
Likaanza wimbi zito mno la kubadilisha ID baada ya kuona mambo siyo mambo.
Mkuu humu JF ni kuzidiana kete.. Yani Me wa humu na Ke wa humu wana viziana hatari... Anaekosea hesabu analiwa kichwaa... Kuna mambo mazito sana nyuma yanaendeleaga.. sababu ya kutoka ukatibu na watu nisio elewa nilishaingia mkenge hatari sana humu.. sito toa story yake Ila ilikuwa ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥... Kisa huruma za kusaidia usichokijua... Kuanzia hapo .. nawachukuliaga kama wanavyo kujaaa
 
Back
Top Bottom