Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Nabembeleza hapaNiombee braza
Tafadhali
Nabembeleza hapaNiombee braza
Tafadhali
Ndio mkuu leo ni kuselfik tu
Hapana,mtapofuka machoNdio mkuu leo ni kuselfik tu
zamani shangazi, mshamba hachekwi😅Totoo umechonga nyusi
Sema wewe mwanaume amechonga nyusi kabisaTotoo umechonga nyusi
Hapana Dr yupoHapana,mtapofuka macho
Mkuu humu JF ni kuzidiana kete.. Yani Me wa humu na Ke wa humu wana viziana hatari... Anaekosea hesabu analiwa kichwaa... Kuna mambo mazito sana nyuma yanaendeleaga.. sababu ya kutoka ukatibu na watu nisio elewa nilishaingia mkenge hatari sana humu.. sito toa story yake Ila ilikuwa ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥... Kisa huruma za kusaidia usichokijua... Kuanzia hapo .. nawachukuliaga kama wanavyo kujaaaHumu ndani kuna vijana wa hovyo mno yani, kuna tabia za ajabu sijapata kuona!
Kuna kipindi humu ndani watoto wa kike walikuwa wanatoa kilio kwelikweli....
Likaanza wimbi zito mno la kubadilisha ID baada ya kuona mambo siyo mambo.
ndio😅Hizi nyusi ni zako jamani?
😬😬Hujawai niona ?Niombee braza
Tafadhali
Usirudie tena nitakuchapa.zamani shangazi, mshamba hachekwi😅
nimekubali kosa
Sawa beautiful without make up 🤣🤣🤣😬😬Hujawai niona ?
Kama umewahi niona mie ndio umemuona Ms eyes ... Kwahiyo tulia
matusi haya😅Mtoto wakiume unalips za dada yako.unatafuta nini?
Kwahiyo mimi niko na sura ngumu sana sawUsirudie tena nitakuchapa.
Btw uko handsome, ni vile tu me shangazi kwako ....
Ndio ukwelmatusi haya😅
Vipi nije ghetto tuchape ma story 😅😅😅Usirudie tena nitakuchapa.
Btw uko handsome, ni vile tu me shangazi kwako ....
hapana mkuu😂Unaifahamu katuni ya fidodido ?
Kwakweli sijamuelewa kabisaSema wewe mwanaume amechonga nyusi kabisa
hakuna kilichoharibika auntie😂Usirudie tena nitakuchapa.
Btw uko handsome, ni vile tu me shangazi kwako ....
Mzee nimekukumbuka sasa usiulize tulikutana wapiTBT .Hapo nakuja kama Masumbuko Lamwai.View attachment 2694707