Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila jokes aside, tulindeni afya zetu kwa gharama yoyote maana ndipo ulipo uhai wetu...

Watu wanatabika sana ambao afya zao zimeenda mrama, si kwa HIV tu bali na hata maradhi mengineyo yasiyo na tiba kwa sasa...

Kwa mtu anayeona uhai si kitu muhimu, hebu siku moja tukupe tour ya bure katika wodi za magonjwa haya...
HIV si kama malaria tu
Sio malaria bhana
Hiv ni kama mafua tu
 
👏👏 asante kwa tahadhari mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…