Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,593
- 15,751
Nilitaka nikutag uje umsaidie cuzo kufunga lemba
Nilitaka nikutag uje umsaidie cuzo kufunga lemba
Nimechelewa kufunga ni kazi km ni mara ya kwanza ila Huwa tunaegesha somtym na tunapendeza tuNilitaka nikutag uje umsaidie cuzo kufunga lemba
Amina amina kubwaaaa cousin hakika Yesu ni bwanaaa!!🥰Cuzo me nmeokoka nampenda Yesu 😀😀😀
Ila mitandio Ina wenyewe Akina Swaumu
Hahha ndio ukibana pin haipeperuki hata iwejeKumbe kuna habari za pini lol!!
Hongera kukuzaa mamaa naomba nizione dear!!! Mie Zangu zimekatika balaaa
Uaaa......😍
Arusha ni nzuri zaidiTanzania mnzuri sana
View attachment 2693172
Kabisa nataka kula losholo leo nimeikosaArusha ni nzuri zaidi
Nipe location chap😊
Nataka kuja kukuchukua ulipo!🙂Nipe location chap😊
Haya ngoja niite Uber!!!!🤗View attachment 2693290
Nipo hapa😊

Wadada wanaokunywa kilimanjaro ni wife material sana......Kuna watu watabisha🤪View attachment 2693290
Nipo hapa😊
Nakuchukulia chicken wings hapa....au 🍗 ???Chap
Uber anapajua!!😁Unapajua wapi?😅