Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Hqhaahh nitumie pulizzBeeb do the needful
Hqhaahh nitumie pulizzBeeb do the needful
Igweeeeeeeeeeeeehh 😍😍😍!
Nimeonaaaa nimeonaaaa mr vouchaa kitruu laivuuuu🕺🤓🤓🤓!!
Inaendana na soda na mimi nijaribu?Na kinywaji chake kitamu sema wewe kitakuondolea upako hakikufai
Ina ladha kama juice ya strawberry Ila ndio ina alcohol 4.5Inaendana na soda na mimi nijaribu?
Inaonekana tamu jamani nyie 🤭
Kuna mtu alinambia Binti mdogo unajibana
Ilikuwa kuhusu kusikiliza bongo fleva
,Anasema we sikiliza tu, siku ya mwisho Mungu ataweka mambo kwenye mzani,,utakapoegemea ndo hukohuko
We mzani wako bado upo sana kwenye dini🤣,nyimbo tu haziwezi badili
Kwako pia Madam Mkemia wetuUsiku mwema wapendwa mrare unonooo!!
Wacha nipumzishe fuvu langu kwareo inatosha!![emoji99][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99]!
Kwanza Mimi kulewa siwezi.Ina ladha kama juice ya strawberry Ila ndio ina alcohol 4.5
[emoji1787][emoji1787] Ni kweli jamani vitu vingine mtu unadhulumu nafsi.
Mwisho wa siku vitaeleweka tu huko mbele ya safari
Dada mwenye shape yake ya jumla🔥
Umefungasha mkia si haba.
Unajilewea ndani kama hivi zikipanda kichwani unakimbilia kitandani unajifunika usingizi huo, ukiamka kesho stress zishaisha.Kwanza Mimi kulewa siwezi.
Inauzwa sh ngapi?
Hata nikilewa kidogo si mbaya, Nina stress mbili tatu hapa, hiyo inaweza saidia.
Nilicheka
Eti wewe pombe hunywi
Mziki nao hutaki kusikiliza,kijana mdogo unajibana[emoji38]
Mwee Lenie nigawieUnajilewea ndani kama hivi zikipanda kichwani unakimbilia kitandani unajifunika usingizi huo, ukiamka kesho stress zishaisha.
Usijibane sana, hadi bongo fleva jamani zina kosa gani[emoji23]
Hizi nililetewa na mtu toka SA, kwa huku sijajua kama ipo.
Ila kwa wewe ukizipata itakufaa maana ni tamu kama juice[emoji39]
Dada huyoooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mkawe na usiku mwema wapenzi..[emoji8][emoji8]
View attachment 2690239
Muda mwema mdogo wangu..😍😘Dada huyoooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Heeeee nini tena naona hapa 😶🌫️👀👀🔥🔥🔥😋Mkawe na usiku mwema wapenzi..😘😘
View attachment 2690239
Walevi tunapendana hatuna baya, mtu akikutana na pombe nzuri huko duniani anakuletea uonje ladha mpya🤣🤣Mwee Lenie nigawie
Hiyo kweli itakuwa tamu,chupa yake tu inaonekana
Mambo ya South hayo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yaani
Sema shetani mbaya,nimeanza kurudisha nyimbo mojamoja kwenye simu
Zile beats Kali za kina Pfunk kwa kweli,hakuna atakayepinga zilivyokuwa Kali.
Akhsante kwa mibarakaMuda mwema mdogo wangu..[emoji7][emoji8]
😂😂😂😂Akhsante kwa mibaraka
Umejua kutubariki dada mwenye shape yake
Halafu wala huringi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23]Walevi tunapendana hatuna baya, mtu akikutana na pombe nzuri huko duniani anakuletea uonje ladha mpya[emoji1787][emoji1787]
Mwee hapa umebaki moja nitaamka nayo kesho kama itafanikiwa kubaki[emoji39]
Akiniletea zingine nitakupatia
Kwahyo nyimbo ilikua umezifuta kweli[emoji1787][emoji1787]
Hee jamani hujazeeka kiasi hiko bana, matendo mema yatakulinda
Mdada mzuri😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥woiiu