Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Lenie umesikia sosje 2500 mimi uku nakonda kabisa njaa inauma sielewi.kabisaTunatoana mate huku aloo 😋😋
Lenie umesikia sosje 2500 mimi uku nakonda kabisa njaa inauma sielewi.kabisaTunatoana mate huku aloo 😋😋
Ungejichanganya kijanaMjep Depal mshamba_hachekwi Poor Brain DeepPond manzi ya Arusha inataka kuniua kisa cool boy poa tu View attachment 2689995
Karibu sanaDada mbona umeniweza uku Arusha chakula si Shibi kabisa nije uko unipikie sotojo
Ningechinjwq vibaya sanaUngejichanganya kijana
Nakuja tajiri wa rohoKaribu sana
Ahahahahha tungekusahauNingechinjwq vibaya sana
Nikikwambiaga tafuta hela udugu unahisi nakusanifu🤣🤣Lenie umesikia sosje 2500 mimi uku nakonda kabisa njaa inauma sielewi.kabisa
hizi soseji wazikate kate, la sivyo mmh
Ahahhaha mimi bhna nataka kurudi darNikikwambiaga tafuta hela udugu unahisi nakusanifu🤣🤣
Una nauli?😂Ahahhaha mimi bhna nataka kurudi dar
Wee usiniambie 😀😀mbona Bei ghali
Sina fanyeni mnichangie watu wa dar mnirudishe kwetu uku si Shibi Mzee wa kupambaniaUna nauli?😂
Kwakweli tubaki tu vijijini huko tutakufa njaaTushazoea
Wanasema km unajiona una pesa, kuja na uspend Arusha 🤣🤣
Sema hiyo ni Njiro... wanajishaua sana
Town huko Sakina, Mrombo sijui vipo mpk chips za kupima jero
Khaaa wewe mimi sitak.tena arushaTushazoea
Wanasema km unajiona una pesa, kuja na uspend Arusha 🤣🤣
Sema hiyo ni Njiro... wanajishaua sana
Town huko Sakina, Mrombo sijui vipo mpk chips za kupima jero
😂😂😂Lenie umesikia sosje 2500 mimi uku nakonda kabisa njaa inauma sielewi.kabisa
Embu sikia ninunulie chakula mm nishibe na njaa bhna😂😂😂
2500 mara 2 5000
Chips kavu 3000
Foil box 500
Ukitaka nenda Morombo huko 😂
Huku wali samaki elf 7
Ule ama ule wali maharage elf 2000 ama ushinde na njaa View attachment 2690148
Unaziona kama dudu la yuyu 🤣🤣🤣hizi soseji wazikate kate, la sivyo mmh
30k umevumilia 😳😂Kudadeki nakwambia hivi sinunui chakula tena nitakula matunda tu gest nimevumilia 30k ila chakula.hapana
Wewe si ulikuwa unajitapa hapa kuwa usiku hautakiwi kushiba sana komaa sasaSina fanyeni mnichangie watu wa dar mnirudishe kwetu uku si Shibi Mzee wa kupambania
ndo mana hujazikata kata eeh, shenzi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Unaziona kama dudu la yuyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]