Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,716
- 208,985
🤣🤣🤣 we kijana ni wa hovyoondo mana hujazikata kata eeh, shenzi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah
🤣🤣🤣 we kijana ni wa hovyoondo mana hujazikata kata eeh, shenzi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio usingizi ni ule ule tu bhna30k umevumilia 😳😂
Unataka za 10k ili upate na kunguni ehee?
Mh uku barid so natakiw kula.sana as2Wewe si ulikuwa unajitapa hapa kuwa usiku hautakiwi kushiba sana komaa sasa
Mhh hapanaNdio usingizi ni ule ule tu bhna
Leo mbona hamna baridi? Nipo na khanga tu.Mh uku barid so natakiw kula.sana as2
Ahahah bas nihamie kwako.unasemajeMhh hapana
Utajiumiza mgongo
Maana huko unaweza kuta godoro ni mtumbwi
Leo kweli jana ilikuwa kaliLeo mbona hamna baridi? Nipo na khanga tu.
Kuna sku baridi mpk unatupia track full
Chupa nzuri nimetamaniHamna namna, weekend iendelee[emoji1635]View attachment 2689882
Asante mrembo😍😍
Ebu tuone😜Leo mbona hamna baridi? Nipo na khanga tu.
Kuna sku baridi mpk unatupia track full
Thanks brazaAsante mrembo😍😍
Hii ndiyo selfie ya kibabe sasa
Ukisikia naked kwerii kwerii ndio hii sasa!!
Yani ushafuta kabla Mwachiluwi haja save?Thanks braza
Tunasubiri yako boss ladyUkisikia naked kabesaaa ndio hii sasa!!
Jicho lips shavu auweeee😍!!
Wabheja sana mamaa!!
Mie hata Sina mpya mr vouchaaa!!Tunasubiri yako boss lady
Fanya namna
Na kinywaji chake kitamu sema wewe kitakuondolea upako hakikufaiChupa nzuri nimetamani
Dah naomba nitumie pmYani ushafuta kabla Mwachiluwi haja save?
Beeb do the needfulDah naomba nitumie pm