Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂
Saiv wakichora sie tunafuta tu, back to back hakuna kupumzika
Ila nikiwaza nagombana na dada wa baba yangu nachoka nafsi😒😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dada zake baba
 
Huyo nitazaa naye, kuna id nazisubiria aingie tu ninaye khenghe yule.
Nikimalizana naye naanza na wale wazee wasiotaka kuuzeka
😆😆😆😆😆
I kanti foshuaaaaaa
Ila give him/ her/ it deserves
Maana sijui ni kamtu au kapapai😂😂😂
 
🤣🤣
Ujue hapo hiyo soseji 1 ni elf 2500
Sio Dar huku unapata soseji za jero jero
Chips kavu tamu elf 3

Utakoma nakwambia
Kudadeki nakwambia hivi sinunui chakula tena nitakula matunda tu gest nimevumilia 30k ila chakula.hapana
 
🤣🤣
Ujue hapo hiyo soseji 1 ni elf 2500
Sio Dar huku unapata soseji za jero jero
Chips kavu tamu elf 3

Utakoma nakwambia
Wee usiniambie 😀😀mbona Bei ghali
 
Back
Top Bottom