Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 882
- 1,697
Ndio ni wewe[emoji23]Mie tena [emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio ni wewe[emoji23]Mie tena [emoji38][emoji38][emoji38]
Wahi tukamuokoe Depal Heineken zinammalizaAhahah na narudi mjini sasa nakimbia vumbi
sio kwa huo muandiko bro😂 piga chini kabisaMjep Depal mshamba_hachekwi Poor Brain DeepPond manzi ya Arusha inataka kuniua kisa cool boy poa tu View attachment 2689995
Chap nipoWahi tukamuokoe Depal Heineken zinammaliza
Achana na Manzi zinaandika XogeaMjep Depal mshamba_hachekwi Poor Brain DeepPond manzi ya Arusha inataka kuniua kisa cool boy poa tu View attachment 2689995
Nishapiga chini sirudiii tena nitaondoka Arusha na upwiru wangusio kwa huo muandiko bro😂 piga chini kabisa
Dah mkuu nishaitema sina ata hamu tena manzi anaongea kwaza anamotusi kama yoteAchana na Manzi zinaandika Xogea
Naondoka kabisa hapa
Huyo mbona mbabe kama mwamba🤣Mjep Depal mshamba_hachekwi Poor Brain DeepPond manzi ya Arusha inataka kuniua kisa cool boy poa tu View attachment 2689995
Sina bando ya ku upload hyo video
Ww acha tu udugu kesho ungenisikia kwenye ITV John maratu akitangaza tukioHuyo mbona mbabe kama mwamba🤣
Aki ningecheka nizimie 🤣Ww acha tu udugu kesho ungenisikia kwenye ITV John maratu akitangaza tukio
Ww acha tu udugu kesho ungenisikia kwenye ITV John maratu akitangazaHuyo mbona mbabe kama mwamba🤣
Video I achukua GB 12 mwambie ajueSina bando ya ku upload hyo video
Selfika mrembo
Dah ngoja nijitulize tu niachane na madem ya arushaAki ningecheka nizimie 🤣
Af ndio ningekuhurumia
Nakuwekea kuleeeSina bando ya ku upload hyo video
Naona Moka imekaa mahala pakeView attachment 2689879
Arumeru Arusha vumbi sio lakitoto
Selfika mrembo