Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha Nilikutaga mchambo wa kidhungu mahala wakawa wanaunasibisha na mnywani wangu.
Hahahaaa..Mchambo wa kizunguu siupatiiii pichaaaa!!
Mie kuchambwa humu hawajaanza Jana wala juziii mnywanii long time kitrambo🕺 💪!!
 
Nilitaka kuweka niloedit nikakumbuka ulisema sikuhizi umesomea vya kutoa hayo madude usoniii

Muwe na Usiku mwema wapendwa acha Nikapumzishe fuvu langu sasa;! Kapachino Penseli 4 Missy Gf
Yele uwiiih halafu Unajichetua ww si mzuri hahahaaa.

Aweee acha zako. Tonnia sina neno maana..... Mmh

❤️❣️❣️💝💝 We ni mzuri na hapo umekaa sasa ukisimama. Hilo shepu la hapooo. Tutakimbia huku


Na yale macho yako thatha 😍😍😍.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…