š„¹š„¹ ulikuwa unakimbia sana ule uziUzi umefutwa š¤£š¤£š¤£š¤£
Lenie
badala wakae walokote ma points š¤£š¤£š¤£Aki sijapendaš¤£š¤£
Mod wamezingua
Mlijimwaga mno nanyie š¤£š¤£š¤£š„¹š„¹ ulikuwa unakimbia sana ule uzi
na nyie mlikuwa mnakuja kuja, kdg tu mgesema ukweli [emoji23][emoji23]Mlijimwaga mno nanyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti jamanibadala wakae walokote ma points š¤£š¤£š¤£
š¤£š¤£š¤£ hamna hatana nyie mlikuwa mnakuja kuja, kdg tu mgesema ukweli [emoji23][emoji23]
Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
Ulikuwa una husu nini?Eti jamani
Asa uzi ulikua na shida gani, uonevu tu
Oooh kuuumbe kule kujiachia sabb ni hii šš»Kazi iliyobaki ššš„
View attachment 2689877
View attachment 2689879
Arumeru Arusha vumbi sio lakitoto
usije tu ukashushia na mlenda [emoji23][emoji23]Kazi iliyobaki [emoji23][emoji23][emoji1635]
View attachment 2689877
Wala hata š¤£š¤£Oooh kuuumbe kule kujiachia sabb ni hii šš»
Ahahhaah punguza thambi ndogo ndogoHujablash viatu
Acha kusingizia mikoa ya watu
Depal uzi ulio.futwa ulikuwa unahusu nini?Wala hata š¤£š¤£
Niko tu na vibe langu
Hii hata haijafika popote bado š
ššš hii kazi ya kula milenda wafanye mayatima wa mapenzi.
HaahaDepal uzi ulio.futwa ulikuwa unahusu nini?
Yaani sielewi ukiniambia ivyo walikuwa wanayamwaga nini?Haaha
Ulikuwa uzi wa kawaida tu
Watu wanayamwaga