Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,593
- 15,752
🤣🤣🤣🤣hali ngumu aisee ukitumiwa usinisahauNitumie basi debe 2 za mahindi
🤣🤣🤣🤣hali ngumu aisee ukitumiwa usinisahauNitumie basi debe 2 za mahindi
Shogahali ngumu aisee ukitumiwa usinisahau


Fix sana wewe mdadahali ngumu aisee ukitumiwa usinisahau

🤗🤗🤗🤗🤗🥰😘Mi mwenyewe najaa sasa Hahahaaa!!! Nataka niwatumie zawadiii toka Nyakiboo akina Bantu lady cocastic anko Penseli 4 National Anthem na ERoni 😂😂😁!
HongeraWananchi wenye nchi yetu![]()
DuhBantu Lady ulisema unapenda kuangalia zipu ya suruali haya hii hapa angalia imefungwa au nifunge na kama View attachment 2688761
Oya mzeee sumbai chuma yako ntaikodisha! Rudi kistoni tupige kazi
View attachment 2681347
cc Aaliyyah





Hizo ni sansa au nswalu?Oyaaa vitu hivi uko usambaani huvipati toroka uje huku itobo we mzee sumbai
View attachment 2681848
cc Aaliyyah
Ulikuwa hujuiShem wangu yupo huru? Karibu tena shem Penseli 4 tuendelee tulipoishia, uache ukorofi sasa 😁😁😁
Hapa ni wapiiii???Niko mita chache sana mnywaniView attachment 2689307