Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,200
- 103,780
Ushindweeeee 😹😹Kwanini hujiamini😹😹hilo penzi halifki mbali
Ushindweeeee 😹😹Kwanini hujiamini😹😹hilo penzi halifki mbali
Huyo mandula sio mshamba hachekwi kweli? 😹😹😹Siwataki😹😹bora nibaki na Mandula afu gen z 🔥🔥🔥
Wee bana manyanza umempenda usizuge hapa..!! 😹😹😹WWeeeeee😹😹Mandula nimuachie nani mimi😍
Kichuguu 😹😹😹Hakika ukilitaja hilo jina Cha kwanza hata ukikurupushwa usingizini kitu kinachokuijia ni hilo nanihino
Nifanye nini sasa chinoFanye ivo!! Tufurahi
🤣🤣Chino mwaga faranga kwa mrembo kichuguu 😹
Unamaliza miti longo longo nyingi unaleta jangwa chinoSi tupo wawili tu hapa ntamuwakilisha Lamomy
achia tetemekoUnamaliza miti longo longo nyingi unaleta jangwa chino
Utaota usiku hebu njoo jukwaa la siasa huko lema kesho anamwaga mboga achana na vichuguu kijanaachia tetemeko
😃😃Fuga nywele mzee🤣#Day 5 me not posting my photo here , until Mr loose Nut The Mongolian Savage posts his iconic childhood photo
Umejua kunitoa kwenye reli haha!! am comingUtaota usiku hebu njoo jukwaa la siasa huko lema kesho anamwaga mboga achana na vichuguu kijana
Kama Shabiki wa nyumbuz ? hilo sitaki 😂😃😃Fuga nywele mzee🤣
Bado upo 🤣Umejua kunitoa kwenye reli haha!! am coming
Unataka kusema kituBado upo 🤣
Usiku mwema chinoUnataka kusema kitu
😂😂😂😂Ntilu mwandiga wanasemaje?