Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,302
Unakula mahewa yote ksbisaππ
Ndio sisi tunaokaaga mlangoni ehhh???π
Unakula mahewa yote ksbisaππ
Ndio sisi tunaokaaga mlangoni ehhh???π
Karibu upige kazi Tena saiz tumevuna mahindi uje upigwe vumbi hapa warehouse[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa utanifunidsha hapo hapo live live,
Toka uhamie "daslamu" saivi hushikiki [emoji23][emoji23]Hivi ulishampa Kalimbu G kibarua?
Nimekiona ankooo ni kisafi kizuriiiii nakiombaaa!!
Ni wa moto huyu bibie[emoji1][emoji1][emoji1]Toka uhamie "daslamu" saivi hushikiki [emoji23][emoji23]
Na wew umeona eeehNi wa moto huyu bibie[emoji1][emoji1][emoji1]
Nimeona kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji23]Na wew umeona eeeh
HahahaaaNimeona kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Amebadilika kila kitu hadi kuandika[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nyie mmevuna, home ndo badoo nawaza kuingia msituni, Yale majani yanavowashaa woiiiiKaribu upige kazi Tena saiz tumevuna mahindi uje upigwe vumbi hapa warehouse
Ila ugali si mtamu ? Hahah wazaz wakakufanyie baby shower ya karibu mtaani utawashwa mpaka nanihii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nyie mmevuna, home ndo badoo nawaza kuingia msituni, Yale majani yanavowashaa woiiii
Mpakaa nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila ugali si mtamu ? Hahah wazaz wakakufanyie baby shower ya karibu mtaani utawashwa mpaka nanihii
Kisumbufu hicho. π π ππ Utakiweza??Nimekiona ankooo ni kisafi kizuriiiii nakiombaaa!!
HahahaaaMpakaa nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakufinya mashavu hayoo.
Ndio Ntampa Jr kazi ya kuparangana nacho!Kisumbufu hicho. π π ππ Utakiweza??
Hichi ni ki cute sana acha nikae nacho kwanza πππ.Ndio Ntampa Jr kazi ya kuparangana nacho!
Vibaya hivooo ankooo!! !!!Hichi ni ki cute sana acha nikae nacho kwanza πππ.
Labda nikutafutie kingine. π€£ππ
Naona naona Kumekuchaa na makucha yakee ankooo samalekoo!!