Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20230626_124853.jpg

Ukisema ukimbilie Juu ya mti anakufata huko huko.....🙌

Hello Weekend 🥂
 
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Eti ungezaa mwaka juzi.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi zaa mwaka huu ili awe anatembea mwaka kesho kutwa!!![emoji846]
Dah
Yaani hadi akatembee siyo leo[emoji24]
Mwaka juzi uleule nilichelewa tu[emoji24]
Ningekuwa namtuma vitu saahizi.
 
Khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nguo nazipenda Mimi watu hawazipendi ila zile nisizopenda sasa[emoji119]
Tukiendaga dukani na dada zangu wanasemaga yaani wewe nguo hujui[emoji1787]
Nzuri kwao mbaya,mm mbaya wao nzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa hujuii.nguo.
 
Kwa kweli na unipe maujuzi ya kutoboa life LA kitaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nikuweka kadegree kako pembeni jioni nakunywaga kahawa na mh Alli hapi siku hizi mkulima huku hahahaha
 
Back
Top Bottom