Selfika na JF: Snap it. Show it

Amen 🙏🙏
Barikiwa Mkuu
 
Sasa kama we huna kazi ,kwann usiombe hapo ABC ?unamwambia mwenzako ajaribu we hutaki?
Mimi sitaki kazi ya ukonda
Siwezi purukushani za barabarani.
Nimemwambia Kwa sababu nimeona ameuliza kuhusu hiyo kazi, na mimi niliona tangazo lao.

Kazi nayoiweza ni ubeki tatu maana shughuli zake nyingi ni nyumbani.
 
Ukweli ni kwamba hata upigike kiasi gani sio kila kazi yafaa kufanya.
Saint Anne na Jadda wanatuchora tu
Mimi kazi yoyote nafanya
Hasa hiyo ya ubeki tatu, haina complications nyingi.

Hiyo ya ukonda wa magari siwezi, Sina hizo nguvu.

Toeni ajira hizo
Siyo tunakuja humu kucheka wote, nyie pesa mnazo na ajira za kutuconnect mnazo ila sisi sasa tunakufa njaa, jobless mtaani.
 
Mdogo wangu ninatoa huduma ya kushona nguo na kuziba viraka
Usininyime hiyo riziki naona suruali imetatuka kidogo hapo[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyenipa hii suruali mbingu ataisikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…