mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
kawaida, nimeishi mikoa ya baridi maisha yangu yotePolen sana. Kuna mtu alinitumia mafinga ilikuwa 5
kawaida, nimeishi mikoa ya baridi maisha yangu yotePolen sana. Kuna mtu alinitumia mafinga ilikuwa 5
😊😊😁😁🤣🤣🤣!! Tukutane saa nne kamilii najua coca kwa kuswampa tuuuu lazima avute madakika kadhaaaa huko ndio atie maguu humu!!😂😂😂 Labda unipige na hako ka baby face.
Yaaaah sasa hili ndio jibu 😁Kana mtu😊
Nipo maelekezo chapYaaaah sasa hili ndio jibu 😁
Huu mguu umenivuruga daah
Just enjoy the vibe 😄Nipo maelekezo chap
I will soon dr.Sad.
Plz come to Dar🥺
Unajua ile ilisababishwa na vyama vingi, ndio ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi. Na mrema alikuwa ni mwana ccm, ndio maana alipojitoa ccm akagombea uraisi akapata backup kubwa sana nchi nzima since watu walimkubali sana toka akiwa waziri wa mambo ya ndani na makamu waziri mkuu.Uncle wangu ananipaga stori Mrema alikujaga Shy hiyo 95 kwenye kampeni.Baada ya kupiga kampeni jioni wakajisogeza hoteli kuanza kugawana vyeo .Yeye alipewa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga,kilichompata alikimbilia Dar kubangaiza.
Naenda kwa Liz Dr LizzyJust enjoy the vibe 😄
When?I will soon dr.
Sitii neno 😄Naenda kwa Liz Dr Lizzy
Hahahha my baby Lizzy😄Sitii neno 😄
Tarehe 20 hivi.When?
Ni raha zaidi ukila na wabongo kama mimi!😁😁Kumbe bongo raha hivi...😊View attachment 2686706
Perfect combo maana bata litaliwa vilivyo 😄Hahahha my baby Lizzy😄
Poa tushituane tu👍😊😊😁😁🤣🤣🤣!! Tukutane saa nne kamilii najua coca kwa kuswampa tuuuu lazima avute madakika kadhaaaa huko ndio atie maguu humu!!
Nikijisahau unicall😊🤠!
Unajua wewe unanichanganya...nipe location chapNi raha zaidi ukila na wabongo kama mimi!😁😁
Lizzy mzuri nyieee sema hamjui😄Perfect combo maana bata litaliwa vilivyo 😄
Ohooo nakurudisha mapemaTarehe 20 hivi.