cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Nionesheeee dearNafuga, zinakuwaga ndefu vibaya mno ngoja nikuonyeshe.




Nionesheeee dearNafuga, zinakuwaga ndefu vibaya mno ngoja nikuonyeshe.




Oooh hapo sawaaaa, nimekubaliiiii.
Nawee huna kuchaa km mie??fugaa bhanaa
Kucha mashalaaaa nzuri sana mpka nimewaza mbaliCocastic, hizo hapo kucha zangu si unaona nimepaka henna
Mchana wote huu😂Kucha mashalaaaa nzuri sana mpka nimewaza mbali
Wew acha tu ngoja nikapate lunchMchana wote huu😂
Niitie cocastic aone kabla sijafuta😂Wew acha tu ngoja nikapate lunch
Nimezionaa dear, wee ni mzureee afu mzuree teenaah.Cocastic, hizo hapo kucha zangu si unaona nimepaka henna




Sijamuona kitamboAmepotea
Msitufanyue hivyo jmnKwa kweli hapana kamanda. Huyo nitakuachia wewe 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2683968
Dear kwa urembo, mbna unayawezaa![]()



Huna lolote, ndo zako baba weee😅😎You slap it and watch it move in sloo mo utafikiri unafanya majaribio ya kuhakiki Newton's laws of gravity au warping of space-time katika Relativity ya mwamba Einstein 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Nachangamsha genge tu braza usinichukulie siriazi. At 76 hata macho hayaoni vizuri....



Hata kama hana likubwa basi angalau kawepo japo ka kujishikizia shikizia ukika-slap kanatetema hata kama ni kwa mbali jamani kha!
View attachment 2683975
Napokea Kwa jina la Yesu 😅Urudi Atown sasa upambane na baridi lako madam
U boss haikwepeki huo huna namna ya kuukimbia
HapanaKuingia kazini si mpaka uitwe mtumishi au unataka niibuke tu kwa akili zangu mwenyewe nianze kujiita nabii/mtume/mtumishi/mwalimu?
Toa mwongozo mtumishi 🙏🏿
mshamba_hachekwiYou slap it and watch it move in sloo mo utafikiri unafanya majaribio ya kuhakiki Newton's laws of gravity au warping of space-time katika Relativity ya mwamba Einstein 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Nachangamsha genge tu braza usinichukulie siriazi. At 76 hata macho hayaoni vizuri....