Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
Nimeona dah mchana wako.unaonekana mtamuView attachment 2685721Mwachiluwi leo sijatumia plastic plate☺️
Nimeona dah mchana wako.unaonekana mtamuView attachment 2685721Mwachiluwi leo sijatumia plastic plate☺️
Sio vizuri mchana huu kutamanishana hivi mjue 😋💦View attachment 2685721Mwachiluwi leo sijatumia plastic plate☺️
Nashushia na juice ya ubuyu☺️Nimeona dah mchana wako.unaonekana mtamu
Karibu mwayaSio vizuri mchana huu kutamanishana hivi mjue 😋💦
Ngoja nije kunywa juice 🥤Nashushia na juice ya ubuyu☺️
Karibu sanaNgoja nije kunywa juice 🥤
Asante sanaKaribu mwaya
Hutakiwi kula kila siku🏃♀️😂Asante sana
Nina muda sasa sijagonga kiepe yai nimekitamani
NakujaKaribu sana
Hatari sana Msodoki ana balaa nzito!
Tupiamo mistari mingine mwanangu


wee nenda kai search YouTube bhana.Hahahaa kuna changamoto gani? Maana Mwachiluwi ndio mwanamume mla kiepe maarufu hapa jf 😊Hutakiwi kula kila siku🏃♀️😂
Hivyo vidole vyeusi vya naniii?? Ndo shemejiii??View attachment 2685721Mwachiluwi leo sijatumia plastic plate![]()



Ahahahahah wewe kula mimi nimeacha maana nikila Chips genye zinakuwa nying sana now nakunywa mtindi na hiv nimeachwa leoHahahaa kuna changamoto gani? Maana Mwachiluwi ndio mwanamume mla kiepe maarufu hapa jf 😊
😂😂😂 mbona umemtaja Mwachiluwi tu peke yakeHahahaa kuna changamoto gani? Maana Mwachiluwi ndio mwanamume mla kiepe maarufu hapa jf 😊
HapanaHivyo vidole vyeusi vya naniii?? Ndo shemejiii??![]()
Anapenda kunichokoza wakat Mjep nae mlaji mzuri😂😂😂 mbona umemtaja Mwachiluwi tu peke yake
tuliosoma cuba tumeelewa Ms eyes 😂Hivyo vidole vyeusi vya naniii?? Ndo shemejiii??![]()