Selfika na JF: Snap it. Show it

September conference sio shida zangu kabisaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuja Dec kwa Graduu bas. Imeisha hiyooooo
Hivi ulisema unataka id ya kupatia ruhusa ya kubakia mjini eeh, nichek geto basi nikuprintie
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hadi sasa hivi yupo kimyaaa.. ujue kapatwaaa na utamu wa pussycat... banaaa mzabzab bado umelewaaa nini.. au kamtoa mtoto out hapo Woolworths... achukue na viwalo baada ya kupewaa vitu adimu kabisaaa
Nipo hapa woolworth nachagua boxer mpya ya kuvaa mrembo akija apagawe. Dah boxer tatu 75k...hawa hatari.
Nikitoka hapa nitakuna nae pale samaki ale msosi na savannah zake machinjo mida ya saa 11 ndio yanaanza
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... safi sanaaaa
usituangashe...
kuna mchesho moja hapo sankara usogee mango ushushie juice ya viagraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…