mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
aje Aaliyyah ashuhudie😂
aje Aaliyyah ashuhudie😂
na kachumbari pembeni au sio😂Nataka kutoa kitu kizito..
na kachumbari pembeni au sio[emoji23]
karibu boss tujifukize😂Sio mshabiki sana pia nyanya ngumu ngumu sina boss
Wewe mtoto unaua mapafukaribu boss tujifukize😂
View attachment 2683324
kama wewe unavoitafuta UTI sugu kwa mabinti😂Wewe mtoto unaua mapafu
Pilau likichanganywa na viazi 🔥🔥🔥🔥 usisahau na kachumbari bruh 🍻
Kuwa na adabu wewe mtoto mimi napenda mziki tukama wewe unavoitafuta UTI sugu kwa mabinti😂
Mkuu punguza nyanya weka mbili tena saga izo nyanya.zote zitapoteza radha ya chakula viazi vipo sawa having madhara
Heshima yako chiefboss Mjep
Mkuu punguza nyanya weka mbili tena saga izo nyanya.zote zitapoteza radha ya chakula viazi vipo sawa having madhara
Hongera sana aisee mpo wengi eeh 😀😀
Aisee nirushie kwanza uyo kuku😀😋
Wajumbe tupo active😀Mkuu punguza nyanya weka mbili tena saga izo nyanya.zote zitapoteza radha ya chakula viazi vipo sawa having madhara
Nipo sana tuuuu shoooBado uko mjinii shooo??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu tule langu