Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimechekaaa had baas, mbna kotazi za gavoo siku hizi zimekarabatiwaa..[emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁😁☺️☺️☺️
Cheka utanue mapafu udugu akeeee jf watu tuna vitrukoo sio kidogooo!!

Kwahio nitoke hapa kotas niende kukaa wapi mie hebu wee udugu akee mjuaji unaeifahamu Nyakibimbirii vizuri uniambie kwanii?? 😁😁


Nasubiria jibu nimekaa paleeee
🙇🙇!!

#Tupunguze ujuajii🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Cheka utanue mapafu udugu akeeee jf watu tuna vitrukoo sio kidogooo!!

Kwahio nitoke hapa kotas niende kukaa wapi mie hebu wee udugu akee mjuaji unaeifahamu Nyakibimbirii vizuri uniambie kwanii?? [emoji16][emoji16]


Nasubiria jibu nimekaa paleeee
[emoji144][emoji144]!!

#Tupunguze ujuajii[emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788][emoji2788]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kwan kuna nn?? Mbna naonaa manjegekaaaa??

Ukisema kotaz za serikali, una maanisha, DRs, Wanajeshi, polisi, Walimu, Etc.

Mbna familia nyingi ndo zimezaliwa na kukuliaa ktk kotazii, tena kwa jina maarufu huwa huitwa "free town".
 
Back
Top Bottom