Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Ahahahah unataka ujenge wapi?Kwahio nijenge Kishumundu Songea huko then nitokee huko kuja kazini Nyakibimbirii? 🤠🤔!
Acheni kukariri maishaaa!
Ahahahah unataka ujenge wapi?Kwahio nijenge Kishumundu Songea huko then nitokee huko kuja kazini Nyakibimbirii? 🤠🤔!
Acheni kukariri maishaaa!
Niko poa.Superb
How is you?
tuachane nayo tu, yanatia uchunguAcha zako bro 😅
Unawakopa tu kwani sh ngapi.
Umenione shemela wangu siku hizi?
Gigy alikimbia masaki nyumba mzuri now kajichimbia goba uku sasaiv pesa mama pesa ngumuHata nyumba ya kupanga inayoeleweka unaweka vizuri kabisa.
Huwezi achana na maisha.tuachane nayo tu, yanatia uchungu
shemela gani??
shemeji gani😂Huwezi achana na maisha.
Pambana nayo vyovyote yanavyokuja
Unamjua bro. Sema unafanya ana ana doo😂shemeji gani😂
😂😂 Sio huyo bro, utagonganisha magari mchana kweupeee.
mimi hata sielewi shemela unamaanisha nini😂😂😂 Sio huyo bro, utagonganisha magari mchana kweupeee.
Utamalizana na mwenye nyumba juu kwa juu. [emoji23][emoji23][emoji23]cocastic hii taaa nikiweka kwenye nyumba ya kupanga nikiondoka si naondoka nayo? Nataka nichange Aaliyyah Unasemaje nikopeshe basi leo nikaichukue hii taa View attachment 2682882
Huyo ni shem kwangumimi hata sielewi shemela unamaanisha nini😂
kama sio tinsley basi sijui tena
Ahahahah unataka ujenge wapi?
Good/expensive taste 👌🏾 ☺️Black bag 😍😍
Nimechekaaa had baas, mbna kotazi za gavoo siku hizi zimekarabatiwaa..[emoji23][emoji23][emoji23]Tunaokaa kwenye ma godauni ya kotas za serikali hizi tunaziona kwenye muvi tu lol huku ni vibatariii na mishumaa tyuuu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]!!
Nimemiss kigodoro udugu akeeee do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Utamalizana na mwenye nyumba juu kwa juu. [emoji23][emoji23][emoji2Wee3]
sina mtu mimi, rejea👇🏾Huyo ni shem kwangu
Mimi Nimeuliza shemela.
Hujui tofauti ya shemela na shem?? 🤣
Utanuniwa huko shauri yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] songea kumekosea nn uduguuu?? Nna kiwanjaa cha kuweka pagale langu hapoo. Mnanipa vawulensiiiiiiiKwahio nijenge Kishumundu Songea huko then nitokee huko kuja kazini Nyakibimbirii? [emoji1783][emoji848]!
Acheni kukariri maishaaa!
Kumbe ulielewa ukaona ulete usumbufu bure😂 utatoa watu rohosina mtu mimi, rejea👇🏾
kisima kikavu hakikati kiu😂
Washatuma kwaniTupo tinangojea hapa