Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Mimi mswhili sanakumbe we wa kishua
Mimi mswhili sanakumbe we wa kishua
Black bag 😍😍Njoo uchague zawadi Depal 😊View attachment 2682654
Tunaokaa kwenye ma godauni ya kotas za serikali hizi tunaziona kwenye muvi tu lol huku ni vibatariii na mishumaa tyuuu🤠🤠🤠!!cocastic hii taaa nikiweka kwenye nyumba ya kupanga nikiondoka si naondoka nayo? Nataka nichange Aaliyyah Unasemaje nikopeshe basi leo nikaichukue hii taa View attachment 2682882
Ahahahah tufanye tujenge nyumba zetu ase kuna vitu vizuri sanaTunaokaa kwenye ma godauni ya kotas za serikali hizi tunaziona kwenye muvi tu lol huku ni vibatariii na mishumaa tyuuu🤠🤠🤠!!
Nakula mama😚Kula mwaya utakonda
Hata nyumba ya kupanga inayoeleweka unaweka vizuri kabisa.Ahahahah tufanye tujenge nyumba zetu ase kuna vitu vizuri sana
Hallo madamHata nyumba ya kupanga inayoeleweka unaweka vizuri kabisa.
kwema kabisa mzee....mshamba_hachekwi kwema ndugu.
Huo uzee umeuona? 😅😅kwema kabisa mzee....
Kwahio nijenge Kishumundu Songea huko then nitokee huko kuja kazini Nyakibimbirii? 🤠🤔!Ahahahah tufanye tujenge nyumba zetu ase kuna vitu vizuri sana
MamboKwahio nijenge Kishumundu Songea huko then nitokee huko kuja kazini Nyakibimbirii? 🤠🤔!
Acheni kukariri maishaaa!
HiHallo madam
Uko poa mrembo.
weekend jau tu, hamna cha maanaHuo uzee umeuona? 😅😅
Weekend vp
Kwa nini mwanangu mwenyewe.weekend jau tu, hamna cha maana
kisima kikavu hakikati kiuKwa nini mwanangu mwenyewe.
Maisha ndio haya haya tu
SuperbUko poa mrembo.
Acha zako bro 😅kisima kikavu hakikati kiu