Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Umejitahid aisee umenipita kabisaNdio ndio Bosslady..
Tunajaribu..
Umejitahid aisee umenipita kabisaNdio ndio Bosslady..
Tunajaribu..
Umejitahid aisee umenipita kabisa
you read my mind😂Mzeiya hapo ni kula tu mbususu za kipemba huko Z'bar
Umejitahid aisee umenipita kabisa
Umesahau Pepsi igandeKaribu
Mwaka wa kutumia mm iphone nafikir watakuwa wamefika iphone 30😂😂😂Ahahah utafuangua kwalazimq View attachment 2682262
Ahahaha subiria muda wako usiwe na tamaawengine tutulie na vi calculator vyetu
Pika aisee mwili haujengwi Kwa matofaliKesho nipike pilau Kuku tuone litatokaje..
Qhahhqhq nimecheka sana ase upo kwenye vivo auMwaka wa kutumia mm iphone nafikir watakuwa wamefika iphone 30😂😂😂
tulia sasa usijifanye una busaraAhahaha subiria muda wako usiwe na tamaa
Aahhahqhqh acha uzobq sasatulia sasa usijifanye una busara
Infinix hot 10😀😀😀Qhahhqhq nimecheka sana ase upo kwenye vivo au
Phonex hapo inakusumbua ukiaingia wasp nayo imeingiaInfinix hot 10😀😀😀
simu ya viwango kabisa 250k sio mchezoInfinix hot 10😀😀😀
Pika aisee mwili haujengwi Kwa matofali
Mm Leo sikuwa na kazi nimekula mara tano [emoji23][emoji23][emoji23]
Vyakula vya kununua sio.vzr mm nannua chips tu ila.sio ubwabwaMimi ni mvivu sana wa kupika muda mwingi nanunua chakula ila weekend leo imenikuta pori lazma kupika
Vyakula vya kununua sio.vzr mm nannua chips tu ila.sio ubwabwa
Kitimoto bhna na ndizi.au.chips. duhUkiona nanunua chakula ni kitimoto mtaalamu..
Kitimoto bhna na ndizi.au.chips. duh