Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimezoea wapi[emoji23]
Tabu hazizoeleki
Natamani kurudi tu mkoani aisee
Hili jiji ni mateso tupu
Pole sana yaani
Jiji gumu hili , tunakaza tu shingo

Nikapita kariakoo jioni nilijuta njia imebana ni wafanya biashara tu wapo njiani .

Na bado uende usimame kwenye basi toka kariakoo had Mbezi beach 😂😂😂

Na li foleni la barabara duh .
 
Back
Top Bottom