Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,325
- 2,590
Shikamoo mremboTehtehteh
Shikamoo mremboTehtehteh
hebu weka yako, sijawahi kuona yakoPicha nilizopitwaa muwekee hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla sijaanzisha kichaa changu, woiiiiiih
Mbnaa zipoo nyingii, panda juu utaonaa.hebu weka yako, sijawahi kuona yako
Ahahahah mim tenaMwachiluwi na miyeyusho stow away Ni wezi wanafiki Sana😂🤣
Marhaba mambo😊😊Shikamoo mrembo
😊Pole kwani ulikua wapi?
Muonee huruma mwenzio😊Pole kwani ulikua wapi?
😲😲Yamekua hayo tenaMuonee huruma mwenzio
Si urudie tuu
Utoe na lile kofia
We ukipata muda njooEwaaaah! Asante kwa mwaliko huu next time nicheki tuje kula mema ya nchi 😍
Mjep shkamooMuonee huruma mwenzio
Si urudie tuu
Utoe na lile kofia
Marahaba mdogo wanguMjep shkamoo
SijamboMarahaba mdogo wangu
Umeamkaje leo?
Nitafurahi na nitashukuru sana mdogo wangu 🙏Sijambo
Hivi unaonaje na sisi jobless tukununulie vocha hata ya buku[emoji23]
Kila siku unatupa sisi
Itabidi tumuombe kaka Mshana Jr atufungulie uzi wetu ma jobless tuwe tunatupia vi vocha vya kupigana tafu hukoSijambo
Hivi unaonaje na sisi jobless tukununulie vocha hata ya buku[emoji23]
Kila siku unatupa sisi
Ada haijatimia mkuu, fanya kuiongeza kidogo. 😅View attachment 2677018
Nikiambiwa nitoe ushauri kwa Vijana, ni kuwa mjitahidi kuzaa mapema ili kusomesha mkiwa bado mna nguvu.
Imagine leo hii Babu yenu nalipa ada za Vijana kwa hela ya pension 🤪
Hello Monday 🥂
Kabisa yaaniItabidi tumuombe kaka Mshana Jr atufungulie uzi wetu ma jobless tuwe tunatupia vi vocha vya kupigana tafu huko
Ili tuache hapa watu wa selfike tu kwa uhuru
Yaani hapa nimempiga kiswahili Mwalimu Mkuu hadi amekubali nipeleke nusu nusu.Ada haijatimia mkuu, fanya kuiongeza kidogo. 😅