Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We ukipata muda njoo
Mimi naogelea kila siku😂
Ushakuwa swimmer eeh 😍😍

Last week nimepanda pantoni tukakimbilia lile la Azam .

Basi tukifika kati kati ya maji bhana

Likagoma since watu walikuwa wamejaa mbele .

hivyo ikafanya pantoni ilemewe upande mmoja .

Ndo watu kuongea weh ndo wakasogea nyuma ndo likaanza kwenda .

Next time napanda tu Mv. Kazi kwa kweli ..
 
Screenshot_20230703-182553.png

Shangazi Antonnia 😊😊😊
 
4yrs 4 fighting ujobless, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna watu wamepindaaa.
 
Ushakuwa swimmer eeh [emoji7][emoji7]

Last week nimepanda pantoni tukakimbilia lile la Azam .

Basi tukifika kati kati ya maji bhana

Likagoma since watu walikuwa wamejaa mbele .

hivyo ikafanya pantoni ilemewe upande mmoja .

Ndo watu kuongea weh ndo wakasogea nyuma ndo likaanza kwenda .

Next time napanda tu Mv. Kazi kwa kweli ..
Hii siku basi tulikuwa pamoja.

Watanzania vichwa vigumu
Unawaambia sogea nyuma hawataki,wanajazana mbele.

Ndo maana siku hizi huwa wanashusha watu kabla haijaondoka.
 
Yaani sina hamu , si wengine tuko nyuma huku wengine wanakaa mbele huko kweli .

Mv kazi ilikuwa empty kabisa na tukangangania kile kidude kukikapanda .

Kuna mda nilitaka kuhamia kigamboni baada ya siku ile , sitaki kabisa .
 
Hii siku basi tulikuwa pamoja

Ndo maana siku hizi huwa wanashusha watu kabla haijaondoka.
Eeh bora wafanye hivyo

watu wabishi sana wanamgomea hadi Askari .

Napandaga treni linagoma lakini hamuwazi sana ila pantoni uwii .

Kimeniacha hoi wakati wa kushuka
Kina dance dance 😂😂
Uzito upo mbele .
 
Yaani sina hamu , si wengine tuko nyuma huku wengine wanakaa mbele huko kweli .

Mv kazi ilikuwa empty kabisa na tukangangania kile kidude kukikapanda .

Kuna mda nilitaka kuhamia kigamboni baada ya siku ile , sitaki kabisa .
Lile kubwa linakera
Linachelewa sana kuondoka ndo maana tunakimbilia kidogo..nao wanajishaua wale..Kuna muda wanakera.

Mi huwa nakaa seat ya mbele ili nisipate shida muda wa kushuka
 
Eeh bora wafanye hivyo

watu wabishi sana wanamgomea hadi Askari .

Napandaga treni linagoma lakini hamuwazi sana ila pantoni uwii .

Kimeniacha hoi wakati wa kushuka
Kina dance dance 😂😂
Uzito upo mbele .
Wanamgomea kwa sababu tayari wapo kwenye maji na kuwashusha hawawezi.
Wale wote vichwa vibovu wanaogandia pale mbele huwa wanashushwa kabla hakijaondoka..afande anachora line,wote waliozidi wanashushwa.

Ile siku hawakusimamia..watu wakajisimamia hovyoo..mi nikajisemea tu hapa lazima tunase leo.
 
Lile kubwa linakera
Linachelewa sana kuondoka ndo maana tunakimbilia kidogo..nao wanajishaua wale..Kuna muda wanakera.

Mi huwa nakaa seat ya mbele ili nisipate shida muda wa kushuka
Bora hilo kubwa , hilo la Azam
Na bado tukafika muda mmoja .

Upo vizuri kwenye mbio , mie nilikuwa nimechoka sana siku hiyo .
 
Wala huwa sikimbii😂ila huwa nakaa mbele,mdogo mdogo naanza kuingia kabla hawajamaliza kutoka

Usizoee kukimbia pale,utapitiliza baharini,panateleza sana .

Ukiwa unapanda just for leisure then panda MV kazi au kombe lile MV Kigamboni
Ila kama una haraka kama mimi ndo unaona umuhimu wa kile kidogo.
 
Wanamgomea kwa sababu tayari wapo kwenye maji na kuwashusha hawawezi.
Wale wote vichwa vibovu wanaogandia pale mbele huwa wanashushwa kabla hakijaondoka..afande anachora line,wote waliozidi wanashushwa.

Ile siku hawakusimamia..watu wakajisimamia hovyoo..mi nikajisemea tu hapa lazima tunase leo.
Jamani yani tungejua tungeonana .

Mimi niliona wengi nikasema mmhh ngoja tuone . .

Wafanye tu hivyo aisee , uzuri huku watu hawana mizigo .
 
Waliokaa kusimamia ile siku ni wazembe
Yaani kukata pale kwenye ngazi kuja mbele,wowote huwa wanashushwa

Na wanaambiwa kabisa wahini Panton kabla haijaondoka
Muda mwingine inakuwa haipo na wanashushwa hawana utani.

Tungeonana ,sema ndo kutokujua.
 
Wala huwa sikimbii😂ila huwa nakaa mbele,mdogo mdogo naanza kuingia kabla hawajamaliza kutoka

Usizoee kukimbia pale,utapitiliza baharini,panateleza sana .

Ukiwa unapanda just for leisure then panda MV kazi au kombe lile MV Kigamboni
Ila kama una haraka kama mimi ndo unaona umuhimu wa kile kidogo.
Yah pako slippery sana .
Basi unakaa mwanzoni sana ile wamefungua geti wewe huyo .

Siku hiyo watu walikimbilia kile kidude tafikiri mabasi ya gongo la mboto 😂😂😂

Next time ni Mv kazi au yenyewe kabisa .
 
Waliokaa kusimamia ile siku ni wazembe
Yaani kukata pale kwenye ngazi kuja mbele,wowote huwa wanashushwa

Na wanaambiwa kabisa wahini Panton kabla haijaondoka
Muda mwingine inakuwa haipo na wanashushwa hawana utani.

Tungeonana ,sema ndo kutokujua.
Yeah kwa kweli
Tumshukuru Mungu kwa kweli dah .

Mule mule watu wakaanza ongea ya kutisha nikaanza kusema enhe Yesu .
 
Yah pako slippery sana .
Basi unakaa mwanzoni sana ile wamefungua geti wewe huyo .

Siku hiyo watu walikimbilia kile kidude tafikiri mabasi ya gongo la mboto 😂😂😂

Next time ni Mv kazi au yenyewe kabisa .
Ndo hivyohivyo watu wanakimbiaga

Kuna wengine walikimbia,baba na kitambi
Yule mlinzi pale mbele akamwambia hivi hujawahi kuanguka eeh?
Akasema ndiyo
Akamwambia ndio maana🤣
 
Back
Top Bottom