😂😂😂Nimefurahi kusikia Ofa ya DP World kulikodisha Jukwaa letu la Selfika na JF kwa kipindi kisichojulikana imetupiliwa mbali.
Kongole kwa Wanasheria wetu makini wakiongozwa na mshamba_hachekwi Tinsley Mjep na Wakili msomi rabbitus kuweza kusimamia hili
Sasa tunaweza kunywa John Walker zetu kwa utulivu sasa 🤪
Guys it's Friday 🥂
full kurusha roho, kimasihara ziendelee😂 au unasemajeGuys it's Friday 🥂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.I guess ndo mapenzi yalivyo
Unahisi wamjua kumbe wapi
[emoji23][emoji23]
Badili mada, toka juzi na bangi tu🤣🤣🤣 ukija unapasha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.
Utaendaa kuuza balaaa, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Amina dear yani nimeweka kitako kabisa baloo moja baada ya jingine!
Bukoba bei kubwa mnooo naenda kuzinyosha natunduka !!
Mapenzi matamu mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.
Watu weuweeeeeeeeee ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hio sampo tu Nyingine Zishapakiwa kutolewa Mpaka Nyakiboo hioooo!
Pia Kuna vi gauni vishati sketi pochi viatu na urembo aina zotreeee!!
Shifoni jeans kodray kadeti na matirio aina zote pia unapata[emoji2788]
Ulijuajeee lol!! Lazima niwapigee🤠!!Naona unaitendea haki yanga😂😂
Hapo ukizinyosha, unatundika bei mara 3
😅😅😅😅😂😂😂😂
Niko poaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Badili mada, toka juzi na bangi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukija unapasha.
Uko poa mrembo[emoji112]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenzi ni noumaaahMapenzi matamu mama
Shikilia hapo hapo
Eendiwoooooooo shougaaangu karibu sana hata vitru vyako vipooo bei maelewanooo!!🤠🤠Watu weuweeeeeeeeee ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yangu itaita sasa hivi, upokee sasa
Asante sana dada. Nitamnunulia shem Tinsley atakayoipenda. Mimi niko kazuramimba huku. Vumbi campUlijuajeee lol!! Lazima niwapigee🤠!!
Hapa nyingine naenda kuvinyosha then natundika!
Rangi za simba pia zipooo ndugu mteja karibu sana uniungishe!!
Aminaaa amina shougaaangu!!Hongeraaaa dearest shogareeee akee, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Nenda kawapee viwaloo vikaliii, watu wa nyakibooooo.
Nakujaaa kusaulaaaa shogareee akee, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Eendiwoooooooo shougaaangu karibu sana hata vitru vyako vipooo bei maelewanooo!![emoji1783][emoji1783]
Za simba pia kama zote deaaarr 😃😃!