Selfika na JF: Snap it. Show it

True love bhana never dies
Ahh mapenzi ni ukichaa uwii

Hongera sana kwa kupambania penzi lako .
Bangi unakuwa normal kabisa

Juzi nipo sehemu usiku mtu wa bajaji akasema subiri nivute kwanza ndo nije na kaendesha fresh kweli
 
Njoo Spur basi, utarudi chuoni kesho 😊😊
 
Mtunzie siri shem wetu
Na uzidi kumpenda 😍😍
 
True love bhana never dies
Ahh mapenzi ni ukichaa uwii

Hongera sana kwa kupambania penzi lako .
Bangi unakuwa normal kabisa

Juzi nipo sehemu usiku mtu wa bajaji akasema subiri nivute kwanza ndo nije na kaendesha fresh kweli
G kani suprise, nisingekuta bangi kwake nilipo iona, hata nani angenambia ningekataa, unajua yuko normal kabisaa yaan hajulikani wala haoneshi km anatumia bangi.

Hata yeyote nimuambie eti G anavuta bangi, watasema namsingizia wallah.


Kumbe uchizi wengine wanajifanyisha, sio tatizo bangi .
 
Hahaa aisee
Kwa hiyo ukaona kabisa hii hapa
Hukushtuka ??

Labda hatumii sana ndo maana haonyeshi .
 
Mtoto mkali aliepo masaki.. asogee hapa Spur ... tule maisha kidogo

Intelligent businessman habari za jioni.. nimekuja kidogo hapa kula vi raha.. njoo na shemeji yangu
Sasa wewe mwizi anaye chipukia National Anthem una taka nije huko dar kwa miguuπŸ€”, Mana mi Niko nanjilinjii kwa wazazi😁😁
πŸ‘‰Halafu demu Sina😁😁, shahidi ni Tinsley πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…