mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,374
- 75,721
yaishe kaka mubwa😅Mm sipendi kuitwa dogo ase hakuna anae juwa mwak wangu kuzaliwa mzee nishamkaja Intelligent businessman ww tena ase sitaki ilo jina
yaishe kaka mubwa😅Mm sipendi kuitwa dogo ase hakuna anae juwa mwak wangu kuzaliwa mzee nishamkaja Intelligent businessman ww tena ase sitaki ilo jina
sasa namshauri vizuri sitaki na yeye alie😂Ukute umetoka kumlilia mtoto wa mtu alafu unamshaur mwenzio aachane na mapenz muacheni had yamuue 😀
na mihela yako yote bado unaachwa😂
Hayo ndio maneno sasa totoo😍🥰hela ya field imeingia mama njoo tuyajenge😁
😀😀😀😀😀Hii kauli Umenikumbusha mbali😀😀😀Mpe Somo kijanasasa namshauri vizuri sitaki na yeye alie😂
itaisha yote kwenye kodi ya mwezi mmoja😂Hayo ndio maneno sasa totoo😍🥰
Nitumie kwanza kiasi niongezee kwenye Kodi hapa fasta
Ww mimi sitaki kuitwa mkubwa wala mdogo ww niite kawaida tu mkuu inatosha basyaishe kaka mubwa😅
haniskilizi.... tusubiri uzi wake wa vilio😂😀😀😀😀😀Hii kauli Umenikumbusha mbali😀😀😀Mpe Somo kijana
Asa ndio unasema una hela totoo?itaisha yote kwenye kodi ya mwezi mmoja😂
yaishe bro😅Ww mimi sitaki kuitwa mkubwa wala mdogo ww niite kawaida tu mkuu inatosha bas
😀😀😀Mwenyekiti wa kutoa pole nipo hapahaniskilizi.... tusubiri uzi wake wa vilio😂
sio lazima kodi tutoke out tukalewe kidogo😂Asa ndio unasema una hela totoo?
mwenyekiti msaidizi wa chaputa niko hapa😂 ntampa form😀😀😀Mwenyekiti wa kutoa pole nipo hapa
Nilewe nirudi asubuhi nikute vitu vyangu vimetolewa nje? 😅sio lazima kodi tutoke out tukalewe kidogo😂
Ee sitaki kabisa izo mamboyaishe bro😅
😀😀😀mwenyekiti msaidizi wa chaputa niko hapa😂 ntampa form
kama ni hivyo njoo uifuate hapa kwangu😂 siumii bureNilewe nirudi asubuhi nikute vitu vyangu vimetolewa nje? 😅
Aah tuma ya kodi kwanza
raha jipe mwenyewe😂 mashangazi magumu balaa yananikataa left and right😂Umeanza lini hizi mambo we mla mihogo
Ushauri baada ya kuachwa?+49 567 892 230
Jipange, usije ukafungua uzi wa kuomba ushauri hapa😂😂
Haha itakuwa ajali kaziniBaada ya kupokea majibu usiyoyatarajia