Selfika na JF: Snap it. Show it

Miguu yangu imeniambia
Tumeshakwisha kutiwa nguvu
Mikono yangu nayo imenieleza
Imezipokea baraka za Mungu

Katika kilindi cha moyo wangu
Nasema wewe ni Mungu
Katika kilindi cha moyo wangu mimi
Nasema wewe ni Baba

Katika kilindi changu
Cha ndani yangu Baba
Nasema wewe ni Mungu
Halleluya
 
[emoji3][emoji3]Kwakweli kakufaa sana mm aunt yangu aliniangusha lkn nilikuwa tayar nipo chuo Anko hakuwaka sana
Aaaah kumbe ulikua chuoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo shangazi nae alizingua mnoo
 
Ntakujaa uwe unanipikiaa shangaziii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…