Timberland nilikuwaga nayo ya kaki nikaipiga rangi nyeusi iwe ya shule na suruali enzi zile tulikuwa tunavaa mabwanga
American boots tulikuwa tunashare ki boarding tu 🤣
Nilikuja kuimiliki yangu mwaka 2010 niliinunua pale kwa Makoba Kariakoo lakini kuna siku nilikuwa nakimbizwa na vibaka halafu kamba sijafunga nikakanyaga jiwe kubwa nikaanguka chini vibaka wakapita na simu Nokia E40 ( gen z hawaijui hii ) kile kiatu nikawatumia ndugu kijijini huko.
Ile mitisheti ya Nelly, Eminem, Sisqo doooh ilikuwa kama jezi sikuwahi kuivaa kabisaaa
Nowadays napendelea kuvaa leather shoe, Air Max na Crocs tu 😀