Mkuu ni _ ke_ .
and she is very successful.
ova.
Au umefananisha na kitalolo...Kitalu imekaa kichakula chakula [emoji23][emoji23]
Kufahamiana tuNshomile uko na agenda gani na hao wadada?
Oooh!! Msitusahau kwa mapicha picha jamani, "mkifahamiana".Kufahamiana tu
😀😀😀 ye babaUnataka asisti sio
Its true, i have a veeeery good friend from in here too. Young but veeeeery brave and matured.Hongera sana mkuu lakini hata hivyo kuna watu wanabahatishaga kupata marafiki wa kufa kufaana kutoka humu kama masihara tu yaani
Mara moja moja sio mbaya bebe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ukitaka uenjoy zaidi kila kitu kione ni utani tuu
Naahidi kuonana na wewe siku ukiwa tayari mdogo wangu mzuri mzuri!!!
Venye ulinilazimisha nikusalimie lazima tuu urudishe salam zangu
Niambie lini ili niandae kabisa suti yangu ninayoipendaga.
Nimekuelewa Mkuu 👏👏💕Unajua kuna kitabu kimoja nilikuwa nasoma kinaelezea kwa nini ulimwengu upo, na kwa nini umeweza kutokea.
Kinaitwa "Why Does The World Exist: An Existential Detective Story".
Wanakwambia, ulimwengu unaweza ku exist kwa sababu ya imbalance fulani zilizotokea katika nothingness.
Yani, kulikuwa na perfect nothingness, yani tuseme chaji negative na positive zimebalance, kwa hiyo net result ikawa zero.
Basi ile zero ikapata chafya kidogo tu, ilipopiga chafya ikaharibu balance, ikawa kama chafya imeenda kusabisha imbalance, ile imbalance ndiyo ikazaa ulimwengu.
Kwa hivyo, tukirudi kwenye msemo wako wa "Life ins't fair", tunajikumbusha kwamba, if life was fair, it wouldn't exist.
Kwa sababu ujue mama kuzaa mtoto, halafu mtoto akawa mdogo kwa mama si fair.
Fair world ingetaka mtoto na mama wote wawe na umri mmoja, ingetaka mtu asile mnyama (kula mnya si fair kwa mnyama) ingetaka mtu asile mmea kuuua mmea ili uule si fair kwa mmea). Ingetaka mmea usichukue madini ardhini (kuyatoa madini ardhini na kuyaweka kwenye mmea sio fair kwa madini.
Ukitaka life iwe fair, utajikuta unaua life yote.
Sasa chagua, unfair life ambayo unaweza kupambana, au no life at all, which is fair to all?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe unaacha kuyajibu
Asante baby [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AimennnSafari hii nalo
Kitalu lazima upate.
We malizia heka heka zako!!
ukitulia na pilika pilika: ukuje nakumilikisha kabisa.
Kuwa na amani kabisa
[emoji8][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapigaje simu nite vile?[emoji57][emoji57][emoji57]