Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Last time i checked, barrel moja zile za 55 gallons alikuwa anacharge 250$...

Humo ndani ya barrel unaweza squeeze nguo nyingi sana...

Hiyo charges zinajumuisha kufuata mzigo kwa addr yako na kusafirisha, ukifika Dar unaenda pick godown zao/nduguzo wanapick pia it's possible...
Hawamtozi kodi za ajabu? Mimi tatizo langu sitaki kumletea mtu wa familia zawadi, halafu nimpe mzigo wa kodi za ajabu kama tunafanya biashara.
 
Last time i checked, barrel moja zile za 55 gallons alikuwa anacharge 250$...

Humo ndani ya barrel unaweza squeeze nguo nyingi sana...

Hiyo charges zinajumuisha kufuata mzigo kwa addr yako na kusafirisha, ukifika Dar unaenda pick godown zao/nduguzo wanapick pia it's possible...
Uzuri mimi wadogo zangu wanakuja kunitembelea kila mwaka, nitawapeleka madukani wenyewe na vingine watanipora wenyewe waende kujiju huko kwenye customs bongo kuviingiza.
 
Back
Top Bottom