Kuna limkaka limoja humu ye alikuwa akiniqoute ananibadilishia content ya comment yangu..ataweka neno baby au upuuzi wowote atakao jisikia, nikareport akakula ban ya mwezi mzima [emoji23][emoji23]
Sikupenda maana mtu akija kucheck atahisi me ndio nilikuwa najibebisha
Hahahahahaha
Muone kwanza jamani
Life isn't fair......🏃🏃🏃Viatu vyangu kupata vumbi ni vigumu sana, kwa sababu nikikivaa leo, kukirudia ni mpaka miaka miwili ipite, halafu kikitoka mlangoni nyumbani kinapiga hatua chache kwenda kwenye BMW, kikitoka kwenye BMW, kinapiga hatua chache kuingia ofisini.
Kinachopata tabu labda rubber ya mazoezi kwenye treadmill.
Haya mabuti na vimoka niliacha kuhesabu nilipofikisha 600, kuna vingine hata kuvaa bado sijawahi kuvivaa.
Sasa katika mazingira hayo, vumbi labda kwenye closet, na mimi nyumbani full AC sifungui madirisha, vumbi kufika kwenye closet ni tabu sana.
Just sayin'.
I miss u too...umeshindaje?Baby..
Missing you..
Mimi rafiki zangu ni hapa jukwaani tuu jamani!! Na almost wadada wote! Huko kwenye dunia ingine sina kabisaa naejuana naye!hahaha uzuri zaidi ni mmoja ya rafiki zako.
Aliniungishaga gunia za mpunga za kutosha.
"Uaminifu" ni kitu cha ajabu kabisa
Alinitumia pesa ya gunia "25" pasipo hata kuniona nikiwa igurusi mbeya.
Nilimfungia mzigo wake nanikamtumia kwa uaminifu. Since then hatuna shida kabisa mpaka Leo ananitumia kupata mzigo wa nafaka zake.
Usiogope juana na watu kikubwa kuwa makini tu.
Sawa dearZoom
Niambie lini ili niandae kabisa suti yangu ninayoipendaga.Mbona upo jamani kaka
Jamanii jamani!Ha ha ha Mimi sio mgeni na wewe
Saaanaaa jamaniHahaha hao uliowatag umewamis kwa uzi eeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....
Hallelujah
Kuna limkaka limoja humu ye alikuwa akiniqoute ananibadilishia content ya comment yangu..ataweka neno baby au upuuzi wowote atakao jisikia, nikareport akakula ban ya mwezi mzima [emoji23][emoji23]
Sikupenda maana mtu akija kucheck atahisi me ndio nilikuwa najibebisha
😂😂😂😂 uwe unaacha kuyajibuKhaa na vyenye kuna id kongwe zimeanza kupotea humu basi sisi tuliojiunga mwaka huu wengi tunaonekana ni old members in new ids kumbe wala,, hauwezi amini eti kuna watu humu hadi leo wanadhani mie ni old member in new id na nimeamua kuwaacha waamini hivyo hivyo nifanyaje sasa.. maana siwezi kujitetea sana utadhani kuna viboko
Ni ngumu sana kujua. Wengi tu wana id zaidi ya moja.
Nimefikia wapi na nani? 😂Hahaha hakika umepitia magumu mamiii...
Kwa hiyo kwa sasa mmefikia wapi?[emoji23][emoji23]
Hakika ni kivuliiiWasha Taa...[emoji23][emoji23][emoji23]
Fulu kivuli...
AminaHallelujah
Dar kunogilee