Yaaani ukafa na tai shingoni
[emoji39][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wewe
Tulikua wote na ndio maana nika ku replay na hiyo view
Yaaniii JF mimi napapenda sababu hiyo tuu jamani!!Naomba usinicheke mimi jamani [emoji23]
Eti msosi, daaahhh[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848]Naweza kuwa kwenye list yako kweli au ndio sina bahati.
Hapa penyewe nimetoka kopeshwa
600k. na mwana jf.
Ndio ukaamua kunicheka mimi jamani. Ila kuna watu wanaishi, wengi tupo tu...teh teh!!Yaaniii JF mimi napapenda sababu hiyo tuu jamani!!
Sisi kina dottoImei tunapiga story na watu wazito
Hahahahahaha
Wacha woga, hebu satoo ukuje bana! Njoo chukua kadi yako
Moshi?! Hata maghorofa huyaoni 😜Moshi amaa
Hahahahahaha
Mimi naweza chat na mtu jukwaani kumbe hata pm hatujawahi fika!! Ila ukituona utadhani tunaishi mtaa mmoja
BongoWapi hii uncle
Eti msosi, daaahhh
Yaani umeona enh?? Nilikuwaga sijawahi kujua hilo ila siku hizi na mimi nimejikuta natambaa na beat tu!!
Yaani mkaka akiniita baby namuitikia baby mdada akiniita dear namuitikia dear maana nimeshagundua that's how the thing goes
Ila mwanzo nilikuwa nikiona watu wanaitana hivyo nikawa najua ni wapenzi kweli au ni ndugu kweli kumbe ni swaga tu
Mwisho wa siku genge lichangamshwe
Wee hapo inategemea na mkaka mwenyewe. LolYaani umeona enh?? Nilikuwaga sijawahi kujua hilo ila siku hizi na mimi nimejikuta natambaa na beat tu!!
Yaani mkaka akiniita baby namuitikia baby mdada akiniita dear namuitikia dear maana nimeshagundua that's how the thing goes
Ila mwanzo nilikuwa nikiona watu wanaitana hivyo nikawa najua ni wapenzi kweli au ni ndugu kweli kumbe ni swaga tu
Mwisho wa siku genge lichangamshwe
Sijakucheka jamanii!Ndio ukaamua kunicheka mimi jamani. Ila kuna watu wanaishi, wengi tupo tu...teh teh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitalu imekaa kichakula chakula [emoji23][emoji23]
Upo dar?Bongo
Mwana jf mwenzangu emu nikopeshe 200k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]